Ngao imerudi Jangwani, waseme tena

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Aug 2026
Ngao imerudi Jangwani, waseme tena

Yanga imefanikiwa kutetea Ngao ya Jamii kwa msimu wa pili mfululizo wakiichapa Simba bao 1-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa New Amaan Complex visiwani Zanzibar.

Bao la Albert Kangwanda ndio lililoihakikishia Yanga ushindi huo muhimu dhidi ya watani zao Smba na kuzima 'ngebe zao'.

Hii ni Ngao ya tano Yanga inatwaa katika misimu sita iliyopita. Yanga sasa imeweka rekodi ya kutwaa Ngao ya Jamii mara 10 wakiendelea kuwaacha watani zao Simba ambao wametwaa Ngao hiyo mara 7.

Ilikuwa siku nzuri kwa mshambuliaji Suleiman Mwalimu ambaye alisajiliwa na Yanga akitokea klabu ya Simba jana na leo amepewa heshima ya kunyanyua Ngao hiyo katika shamrashamra na wachezaji wenzake.

Yanga ni nyumba ya mataji, Mwalimu hatajuta kujiunga na mabingwa hao wa nchi..!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15m ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
23m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
3h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’