Wananchi Ruangwa walivyoipokea Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Aug 2026
Wananchi Ruangwa walivyoipokea Yanga

Kikosi cha Yanga kimewasili Ruangwa mkoani Lindi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc utakaopigwa Jumamosi, August 15 kwenye uwanja wa Majaliwa.

Yanga imesafiri kwa ndege ya kukodi kutokea visiwani Zanzibar hadi Nachingwea ambako waliunganisha kwa basi kuelekea Ruangwa.

Mamia ya mashabiki walijitokeza kwa wingi kuwalaki mabingwa hao watetezi wa ligi kuu ya NBC ambao jana walianza msimu kwa kutetea Ngao ya Jamii kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’