Aucho aibukia Ethiopia

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Aug 2026
Aucho aibukia Ethiopia

Kiungo wa zamani wa Yanga, Khalid Aucho amejiunga rasmi na klabu ya Sidama Bunna FC ya Ethiopia baada ya kusitisha mkataba wake na Singida BS.

Aucho amesaini mkataba wa mwaka mmoja na klabu hiyo, akitarajiwa kuwa sehemu muhimu ya kikosi kinachojiandaa na changamoto za msimu mpya.

Sidama Bunna FC ilitwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Ethiopia msimu wa 2025/26, mafanikio yaliyoiwezesha kupata nafasi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu.

Hatua ya kujiunga na Sidama Fc inampa fursa ya kuendelea na safari yake ya soka nje ya Uganda, huku akirejea katika mazingira ya ushindani wa juu na kupata nafasi ya kushiriki michuano ya klabu bingwa Afrika.

Pengine bado Wananchi walihitaji kumuona kwa mara nyingine akirejea Jangwani lakini wazi suala la umri na changamoto ya majeraha ya mara kwa mara imechangia kwa uongozi wa Yanga kutua Congo kumsajili Fredy Ngoma katika jitihada za kuziba pengo lake.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
11h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
16h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
20h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’