Mabingwa watetezi ligi kuu ya NBC, Yanga leo wako uwanjani kuikabili Pamba Jiji katika mchezo wa mzunguuko wa nne.
Ni mchezo mwingine kwa Wananchi kuwania alama tatu ili kuendeleza rekodi yao ya ushindi kwa asilimia 100 msimu huu.
Viingilio vya mchezo huo utakaopigwa saa 3 usiku; Mzunguuko ni Tsh 10,000/- na VIP ni Tsh 20,000/-

ADVERTISE HERE