Kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Dar es salaam kuelekea Botswana tayari kwa mchezo wa hatua ya awali ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Gaborone United.
Yanga itachuana na Gaborone United siku ya Jumamosi, Septemba 05 kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza na mechi ya marudiano kupigwa jijini Dar es salaam uwanja wa Azam Complex wiki ijayo.






ADVERTISE HERE