Kikosi cha Yanga leo kimeingia siku ya pili ya maandalizi yake nchini Botswana kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Gaborone United.
Wananchi wanajiandaa na mtanange huo wa hatua ya awali mkondo wa kwanza, utakaopigwa Jumamosi kwenye uwanja wa Taifa wa Botswana.










ADVERTISE HERE