Kikosi cha Yanga leo kitashuka uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam kuikabili St George ya Ethiopita.
Ni mchezo wa Kimataifa wa kirafiki utakaopigwa kuanzia saa 12 jioni.
Viinglio VIP ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 3,000/-

ADVERTISE HERE