Viongozi, Wanachama na Mashabiki wa Yanga leo wameshiriki dua maalum ya kumuombea aliyekuwa Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini Mama Fatma Karume aliyefariki dunia hivi karibuni.
Mwenye ez Mungu ailaze roho yake mahali pema, peponi Amen..






ADVERTISE HERE