Kikosi cha Yanga leo kimeendelea kujifua uwanja wa KMC Complex ikiwa ni siku ya tatu tangu Wananchi warejee mazoezini baada ya mapumziko.
Yanga inajiandaa kuwakabili watani za jadi Simba kwenye mchezo wa ligi kuu utakaopigwa Oktoba 10.