Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe kesho Jumanne atazungumza na wanahabari Makao Makuu ya klabu, Jangwani jijini Dar es salaam.
Yamezungumzwa mengi na zaidi ni tuhuma za 'sindano' kwenye mchezo wa Kariakoo Derby uliopigwa juzi, Kamwe anatarajiwa kufunguka na kuweka bayana juu ya tuhuma hizo na msimamo wa Yanga.
Mkutano huo unatarajiwa kufanyika kuanzia saa 5 asubuhi.

ADVERTISE HERE