FT : Yanga 4-1 CFFA, CAFCL (FT)

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1h ago
FT : Yanga 4-1 CFFA, CAFCL (FT)

Yanga imetinga hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya Mabingwa (CAFCL) baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya CFFA katika mchezo wa mkondo wa pili raundi ya kwanza uliopigwa uwanja wa Azam Complex.

Ibrahim Kazimoto alifungua ukurasa wa mabao Yanga kwenye kipindi cha kwanza kabla ya Seleman Mwalimu kuongeza mawili kwenye kipindi cha pili huku bao la nne likifungwa na Juma Abushir 'Chuga Boy'.

Kocha Mkuu wa Yanga Manqoba Mngqithi alitumia mchezo huo kuwapa nafasi baadhi ya wachezaji pia ukishuhudiwa urejeo wa beki Dickson Job aliyekuwa majeruhi kwa muda mrefu.

Yanga imetinga makundi kwa ushindi wa jumla wa mabao 8-1 kufuatia ushindi wa mabao 4-0 kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza.

Matokeo hayo yameweka rekodi ya kibabe kwa Yanga wakifanikiwa kutinga hatua ya makundi kwa misimu minne mfululizo.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Goals : Yanga 4-1 CFFA, CAFCL (FT)
Goals : Yanga 4-1 CFFA, CAFCL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs CFFA, CAFCL R2
Kikosi : Yanga vs CFFA, CAFCL R2
4h ago
READ MORE β†’
Yao aungana na Diarra, Abuya kuikosa CFFA
Yao aungana na Diarra, Abuya kuikosa CFFA
8h ago
READ MORE β†’
Yanga kutangulia makundi CAFCL leo? Droo Oktoba 28
Yanga kutangulia makundi CAFCL leo? Droo Oktoba 28
10h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs CFFA, CAFCL MD2
Matchday; Yanga vs CFFA, CAFCL MD2
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 21 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 21 2026
15h ago
READ MORE β†’
Tayari kuhitimisha kazi ya kufuzu makundi CAFCL
Tayari kuhitimisha kazi ya kufuzu makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Kamwe apongeza TFF kupima dawa za kusisimua miili
Kamwe apongeza TFF kupima dawa za kusisimua miili
1d ago
READ MORE β†’
Yanga imepania kuiwekea rekodi CFFA
Yanga imepania kuiwekea rekodi CFFA
1d ago
READ MORE β†’
Ngoma wakati utafika, atapewa heshima yake
Ngoma wakati utafika, atapewa heshima yake
1d ago
READ MORE β†’