FT : TRA United 0-0 Yanga, NBC PL, Oct 24

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1h ago
FT : TRA United 0-0 Yanga, NBC PL, Oct 24

Yanga imedondosha alama mbili mkoani Arusha, ikilazimishwa suluhu ya bila kufungana dhidi ya TRA United.

Ni mchezo mwingine ambao unaweza kusema Yanga hawakuwa kwenye kiwango bora. Hakuna nafasi za wazi zilizotengenezwa, timu ikicheza taratibu na kupelekea TRA United kujipanga vyema kwenye ulinzi.

Dakika za lala salama Wananchi wakapata pigo baada ya Mudathir Yahya kutolewa nje kwa kadi nyekundu baada ya kumvuta jezi mshambuliaji wa TRA United akiwa mchezaji wa mwisho.

Ni msimu wa pili mfululizo Yanga inakosa ushindi uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

Sasa Wananchi wako nyuma ya vinara wa ligi hiyo Simba kwa tofauti ya alama tano. 

Nini kifanyike Wananchi? Tatizo ni nini? Wachezaji au benchi la ufundi?

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Manqoba mambo magumu Yanga
Manqoba mambo magumu Yanga
26m ago
READ MORE β†’
Kikosi : TRA United vs Yanga, NBC PL, Oct 24
Kikosi : TRA United vs Yanga, NBC PL, Oct 24
4h ago
READ MORE β†’
Wiliete Sc wameangusha mbuyu ligi ya mabingwa
Wiliete Sc wameangusha mbuyu ligi ya mabingwa
8h ago
READ MORE β†’
Matchday; TRA United vs Yanga, NBC PL, Oct 24
Matchday; TRA United vs Yanga, NBC PL, Oct 24
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumamosi, Oktoba 24 2026
Magazeti ya leo Jumamosi, Oktoba 24 2026
12h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili TRA United yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili TRA United yamekamilika
23h ago
READ MORE β†’
Manqoba atuma ujumbe kwa wachezaji Yanga 'lazima tupambane kushinda'
Manqoba atuma ujumbe kwa wachezaji Yanga 'lazima tupambane kushinda'
1d ago
READ MORE β†’
Tumejiandaa kushinda dhidi ya TRA United - Masalanga
Tumejiandaa kushinda dhidi ya TRA United - Masalanga
1d ago
READ MORE β†’
Manqoba akiri TRA United wagumu, aweka mkakati wa kuwadhibiti
Manqoba akiri TRA United wagumu, aweka mkakati wa kuwadhibiti
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yapania alama tatu Arusha
Yanga yapania alama tatu Arusha
1d ago
READ MORE β†’