Hongera Kessy, umepata tuzo uliyostahili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Jun 2018
Hongera Kessy, umepata tuzo uliyostahili
Beki Hassani Kessy ni miongoni mwa wachezaji watatu wa Yanga waliofanikiwa kutinga kwenye kikosi bora cha ligi kuu ya Vodacom msimu wa 2017/18.

Kessy, Kelvin Yondani na Papi Tshishimbi wamejumuishwa katika kikosi hicho ambacho pia kina na wachezaji watano wa Simba, wawili wa Singida United na mmoja wa Majimaji.

Hongera Kessy, umepata tuzo uliyostahili!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’