Maxi aandaliwa tiba maalum ili kumrejesha kikosini mapema

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3d ago
Maxi aandaliwa tiba maalum ili kumrejesha kikosini mapema

Kiungo wa Yanga Maxi Nzengeli ameanza matibabu maalum ya jeraha la goti ili kuhakikisha anarejea kikosi mapema kuendelea na majukumu yake.

Yanga inatarajiwa kumkosa Maxi kwa takribani wiki sita kutokana na jeraha la goti alilopata kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar.

Katika kuhakikisha nyota huyo tegemeo anarejea kikosini mapema, Yanga imechukua hatua mapema ikimuweka chini ya uangalizi maalum.

Meneja wa mchezaji huyo, Nestor Mutuale amethibitisha kuwa Mcongomani huyo ameanza program maalum ya matibabu ambayo inalenga nyota huyo kupona jeraha mapema.

Maxi amekuwa 'injini' ya Yanga msimu huu akiondoka na tuzo sita za nyota wa mchezo katika mechi 10 za ligi kuu alizocheza mpaka sasa. Aidha pia amefunga mabao matatu huku akitoa pasi tatu za mabao.

Mkufunzi wa Yanga fadlu Davids analazimika kupata mbadala wake katika kipindi cha wiki sita ambazo atakosekana kikosini.

Yanga SC Stories

Goals : Polisi Tanzania 0-2 Yanga, NBC PL (FT)
Goals : Polisi Tanzania 0-2 Yanga, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
FT : Polisi Tanzania 0-2 Yanga, NBC PL
FT : Polisi Tanzania 0-2 Yanga, NBC PL
10h ago
READ MORE β†’
Kikosi : JKT Tanzania vs Yanga, NBC PL, Nov 20
Kikosi : JKT Tanzania vs Yanga, NBC PL, Nov 20
14h ago
READ MORE β†’
Mudathir amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Mudathir amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Dladla awaaga Wananchi
Dladla awaaga Wananchi
19h ago
READ MORE β†’
Matchday; Polisi Tanzania vs Yanga, NBC PL, Nov 20
Matchday; Polisi Tanzania vs Yanga, NBC PL, Nov 20
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Ijumaa, Novemba 20 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Novemba 20 2026
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yawasili Moshi tayari kuikabili Polisi Tanzania
Yanga yawasili Moshi tayari kuikabili Polisi Tanzania
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yakamilisha maandalizi tayari kuifuata Polisi Tanzania
Yanga yakamilisha maandalizi tayari kuifuata Polisi Tanzania
1d ago
READ MORE β†’
Dikgacoi atamba Yanga ipo tayari kuivaa Polisi Tanzania
Dikgacoi atamba Yanga ipo tayari kuivaa Polisi Tanzania
1d ago
READ MORE β†’