Yanga Princess yazindukia kwa Kili Wonders

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3d ago
Yanga Princess yazindukia kwa Kili Wonders

Baada ya kupoteza mchezo uliopita dhidi ya JKT Queens, kinadada wa Yanga Princess leo wamezinduka na kugawa dozi nzito kwa kinadada wa Kili Wonders.

Ni ushindi wa mabao 7-1 Yanga Princess wakiuandikisha kwenye uwanja wa KMC Complex katika mchezo wa ligi kuu ya Wanawake huku mwanadada Salamata akipiga hat-trik ya kwanza msimu huu.

Ushindi huo unaifanya Yanga Princess iandikishe ushindi wa tatu katika mechi ya nne msimu huu huku wakipachika mabao 12.

Mkufunzi wa Yanga Princess Said Maulid 'SMG' amesema kikosi chake kinaimarika hatua kwa hatua akiwa na matumaini makubwa ya kufanya vyema msimu huu

 

Yanga SC Stories

Goals : Polisi Tanzania 0-2 Yanga, NBC PL (FT)
Goals : Polisi Tanzania 0-2 Yanga, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
FT : Polisi Tanzania 0-2 Yanga, NBC PL
FT : Polisi Tanzania 0-2 Yanga, NBC PL
10h ago
READ MORE β†’
Kikosi : JKT Tanzania vs Yanga, NBC PL, Nov 20
Kikosi : JKT Tanzania vs Yanga, NBC PL, Nov 20
14h ago
READ MORE β†’
Mudathir amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Mudathir amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Dladla awaaga Wananchi
Dladla awaaga Wananchi
19h ago
READ MORE β†’
Matchday; Polisi Tanzania vs Yanga, NBC PL, Nov 20
Matchday; Polisi Tanzania vs Yanga, NBC PL, Nov 20
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Ijumaa, Novemba 20 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Novemba 20 2026
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yawasili Moshi tayari kuikabili Polisi Tanzania
Yanga yawasili Moshi tayari kuikabili Polisi Tanzania
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yakamilisha maandalizi tayari kuifuata Polisi Tanzania
Yanga yakamilisha maandalizi tayari kuifuata Polisi Tanzania
1d ago
READ MORE β†’
Dikgacoi atamba Yanga ipo tayari kuivaa Polisi Tanzania
Dikgacoi atamba Yanga ipo tayari kuivaa Polisi Tanzania
1d ago
READ MORE β†’