Buswita aahidi makubwa Yanga

Admin By Admin
β€’
18 Jun 2017
Buswita aahidi makubwa Yanga
Pius Buswita kiungo mshambuliaji mpya wa klabu ya Yanga amewaahidi mashabiki wa klabu hiyo wakae mkao wa kula kwani amewaandalia mambo makubwa msimu ujao.

Buswita aliyeporwa mikononi mwa Simba amesema alikuwa na ndoto ya muda mrefu kucheza klabu ya Yanga na anaamini hajafanya makosa kujiunga na wakimataifa.

Mchezaji huyo aliyesajiliwa kutoka Mbao FC anazidi kuimarisha sehemu ya kiungo wa kati huku pia akiwa na uwezo wa kucheza winga.

"Nina furaha kujiunga Yanga SC, nimetimiza moja ya ndoto zangu kuja kuichezea klabu kubwa nchini."

"Ningependelea hasa nipewe jezi namba tatu na nawaambia mashabiki wa Yanga wajiandae kwa furaha"
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’