Kwizera awaita Yanga mezani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Jul 2018
Kwizera awaita Yanga mezani
Licha ya kugoma kuzungumzia tetesi zinazomuhusisha kutua Yanga, kiungo mahili wa Rayon Sports Pierre Kwizera amesema yuko tayari kuwatumikia mabingwa hao wa Kihistoria wa Tanzania Bara kama watafikia makubaliano.

Kwizera yuko kwenye kikosi cha Rayon kinachoshiriki michuano ya kombe la Kagame inayoendelea jijini Dar es salaam.

"Mimi taarifa za kutakiwa na Yanga mpaka sasa sijui kitu labda msogelee viongozi wa Yanga ndio wanaweza kuwaambuia ukweli," alisema Kwizera jana muda mfupi baada ya mchezo wa kombe la Kagame kati ya Rayon Sports dhidi ya Gor Mahia uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2.

"Lakini mimi kama mchezaji niko tayari kwenda popote penye ulaji hivyo kama tutasikilizana vuzuri hakuna tatizo"

Kwizera ni miongoni mwa wachezaji wa kutegemewa wa Rayon ambapo alikuwemo kwenye kikosi cha timu hiyo kilichocheza na Yanga kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho May 16 jijini Dar es salaam.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’