Baada ya kuona tetesi kwenye vyombo vya habari kuwa Yanga wanataka kumsajili, haraka viongozi wa Simba wakawahi kumalizana na beki mkongwe Paschal Serge Wawa.
Hata hivyo kiwango alichoonyesha kwenye michezo mitatu aliyocheza katika michuano ya kombe la Kagame kimewafanya washikwe na butwaa!
Abbasi Tarimba, Mwenyekiti wa Kamati ya mpito ya Yanga aliwahi kusema klabu ya Simba haina wataalam wa kusaka vipaji badala yake wamekuwa wakiitumia Yanga kufanya usajili wake.
Lakini Yanga wameikwepa changamoto hiyo baada ya kuja na utaratibu wa kusajili wachezaji 'kimyakimya'.
Msimu huu Simba imesajiliwa wachezaji wengi ambao vyombo vya habari vilikuwa vikiwahusisha kutakiwa na Yanga.

ADVERTISE HERE