Waliomaliza mikataba wahakikishiwa mikataba mipya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
•
8 Jul 2018
Waliomaliza mikataba wahakikishiwa mikataba mipya
Yanga imeendelea kujadiliana na wachezaji wake walioitumikia timu hiyo msimu uliopita hivyo kuondoa hofu ya kuwapoteza baadhi yao.

Mwenyekiti wa Kamati ya usajili ya Yanga Hussein Nyika amesema wamefikia makubaliano na baadhi ya wachezaji ambao mikataba yao imemalizika na wengine tayari wamesaini mikataba mipya.

Wachezaji ambao mikataba yao imemalizika ni pamoja na Kelvin Yondani, Hassan Kessy, Andrew Vincent ‘Dante’ na Nadir Haroub ‘Cannavaro’.

Wengine ni kipa Beno Kakolanya, Emmanuel Mar­tin, Said Makapu, Geofrey Mwashiuya na Juma Abdul.

Kelvin Yondani, Andrew Vicent, Juma Abdul na Beno Kakolanya ni miongoni mwa wachezaji ambao tayari wamesaini mikataba mipya.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
19m ago
READ MORE →
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE →
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE →
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE →
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE →
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE →
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE →
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE →
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE →