Dida kwenda Afrika Kusini kufanya majaribio

Admin By Admin
β€’
18 Jun 2017
Dida kwenda Afrika Kusini kufanya majaribio
Mlinda lango wa kutumainiwa klabu ya Yanga Degratius Munishi 'Dida' anaelekea nchini Afrika Kusini kufanya majaribio kwenye moja ya timu inayoshiriki ABSA Premiership.

Dida aliyemaliza mkataba jangwani amegoma kusaini mkataba mpya hadi pale atakapofanya majaribio na kufahamu hatma yake.

Yanga huenda ikamsajili Youthe Rostand aliyekuwa kipa wa African Lyon ambayo imeshuka daraja.

Huyu atasaidiana na Beno Kakolanya ambaye kwa sasa ndiye kipa namba moja.

Kakolanya yuko kwenye timu ya Taifa inayosafiri kwenda nchini Afrika Kusini kushiriki michuano ya COSAFA
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’