Kidao athibitishwa kuwa Katibu Mkuu TFF

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Jul 2018
Kidao athibitishwa kuwa Katibu Mkuu TFF
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) imemthibitisha Kidao Wilfred kuwa Katibu Mkuu wa TFF.

Rais wa TFF Wallace Karia amewaambia waandishi wa Habari katika Mkutano uliofanyika leo Julai 12,2018 Makao Makuu ya TFF Karume, Ilala jijini Dar es salaam.

Kabla ya uthibitisho huo Kidao alikuwa akikaimu nafasi hiyo tangu August 2017.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
22h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’