Ratiba ya VPL msimu wa 2018/19 hadharani Jumatano

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Jul 2018
Ratiba ya VPL msimu wa 2018/19 hadharani Jumatano
Mtendaji Mkuu wa Bodi ya ligi (TPLB) Boniface Wambura leo Jumatatu, Julai 16 2018 atazungumza na waandishi wa habari za Michezo Makao Makuu ya TFF, Karume jijini Dar es salaam.

Tukio kubwa litakalojiri kwenye Mkutano huo ni kutangazwa rasmi kwa ratiba ya awali ya ligi kuu ya Vodacom msimu wa 2018/19 inayotarajiwa kuanza mwezi ujao.

TFF imesema ratiba hiyo itatolewa rasmi Jumatano, Julai 18 2018

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
43m ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
12h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
16h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
20h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
21h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’