Wachezaji 18 Yanga waifuata Gor Mahia

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Jul 2018
Wachezaji 18 Yanga waifuata Gor Mahia
Wachezaji 18 wa Yanga wanasafiri asubuhi hii ya Jumatatu, Julai 16 2018 kuelekea nchini Kenya kwa ajili ya mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Gor Mahia.

Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumatano kwenye uwanja wa Moi Kasarani, jijini Nairobi..

Kikosi kamili kinachokwenda KENYA

Makipa
Youth Rostand
Benno Kakolanya

Walinzi
Juma Abdul
Haji Mwinyi
Gadiel Michael
Abdallah Shaibu
Andrew Vicent
Pato Ngonyani
Said Makapu

Viungo
Papy Tshishimbi
Pius Buswita
Geofrey Mwashiuya
Juma Mahadhi
Said Mussa
Emmanuel Martin

Washambuliaji
Amis Tambwe
Yohana Mkomola
Ibrahim Ajibu.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
19m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’