Yanga yawatega wasio na mikataba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Jul 2018
Yanga yawatega wasio na mikataba
Wakati dirisha la usajili likielekea ukingoni sasa zikiwa zimesalia siku nne, baadhi ya wachezaji ambao bado hawajasaini mikataba mipya Yanga wako kwenye wakati mgumu.

Uongozi wa Yanga ulifikia makubaliano na baadhi ya wachezaji kama Juma Abdul, Andrew Vicent na Benno Kakolanya.

Wachezaji hao walikubali kuitumikia Yanga kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Gor Mahia kwa ahadi kwamba watasaini mikataba mipya baada ya kurudi kutoka Kenya.

Hata hivyo ukimya wa viongozi wa Yanga unawapa wakati mgumu wachezaji hao hasa ikizingatiwa dirisha la usajili linaelekea ukingoni.

Baadhi yao tayari wameanza kutafuta timu nyingine kwa kuhofia kukosa kucheza msimu ujao kama hawatasajiliwa na Yanga.

Kakolanya amekuwa akihusishwa kutua JKT Tanzania kama viongozi wa Yanga watashindwa kumpa mkataba mpya haraka wakati Andrew Vicent huenda akaibukia Singida United.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’