Huwezi kushinda kama hufungi

Yanga Damu By Yanga Damu
β€’
9 Aug 2017
Huwezi kushinda kama hufungi
Kwa misimu mitatu mfululizo Yanga imetwaa taji la ligi kuu ya Vodacom. Pia katika kipindi cha miaka 10 Yanga imetwaa mataji saba!

Katika kipindi hicho Yanga imekuwa haikai zaidi ya misimu miwili bila kutwaa ubingwa tena.

Hii inadhihirisha ni kiasi gani uongozi wa Yanga katika kipindi chote hicho umekuwa makini kuandaa timu ya kutwaa mataji.

Niwaambie kitu, mpira unachezwa uwanjani na si pahala pengine popote. Wengine wanaweza kuwa mafundi wa kupiga mayowe huko nje lakini mwisho wa siku ukweli hujulikana.

Mkongwe na kocha wa zamani wa FC Barcelona marehemu Johan Cruyff alikuwa na msemo wake maarufu usemao : HUWEZI KUFUNGA KAMA HUPIGI LANGONI NA HUWEZI KUSHINDA KAMA HUFUNGI.

Safu ya ushambuliaji ya Yanga ni moto wa kuotea mbali.

Angalia msimu uliopita, licha ya mabalaa yaliyotukumba, ubingwa tuliuchukua sababu tu, tulikuwa na safu hatari zaidi ya ushambuliaji.

Mwaka huu itakuwa hivyo hivyo, washabiki wa Yanga wasitishwe na tambo za baadhi ya timu. Waambieni mpira unachezwa uwanjani na si kwenye magazeti au penginepo.

Kwanza waulizeni ivi kombe lao kutoka FIFA wameshakabidhiwa? Ni aibu kwa timu kutumia gharama kubwa kusajili wachezaji halafu mwisho wa siku mnalilia pointi za mezani.

Tukutane Agosti 23.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
6h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
6h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
19h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’