Kaseke amerejea na bao Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Jul 2018
Kaseke amerejea na bao Yanga
Kiungo mshambuliaji Deus Kaseke alifunga moja ya mabao ya Yanga kwenye mchezo dhidi ya Gor Mahia uliopigwa kwenye dimba la Taifa na Yanga kupoteza kwa mabao 3-2.

Ujio wa Kaseke kwenye kikosi cha Yanga ni dhahiri utakuwa na faida siku za usoni kutokana na aina ya uchezaji wake.

Kwenye mchezo huo Kaseke alikuwa miongoni mwa wachezaji walioonyesha uhai na kujituma zaidi.

Yeye pamoja na Matheo Anthony walidhihirisha kuwa benchi la ufundi halikufanya makosa kuwaongeza katika kikosi cha Yanga kinachoshiriki michuano hiyo.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’