Meneja Mpya wa kikosi cha Yanga Nadir Haroub 'Cannavaro' amekuwa sehemu ya kikosi cha mabingwa hao wa kihistoria Tanzania Bara kwa miaka 12 akiwa mchezaji.
Nadir anayeshikilia rekodi ya kucheza Yanga kwa muda mrefu zaidi, ameshinda mataji 15 kuanzia 2006 alipojiunga na Yanga akitokea Malindi ya Zanzibar.
Nadir ameshinda mataji nane ya ligi, manne ya ngao ya jamii, mataji mawili ya kombe la Kagame na taji moja la kombe la Azam

Nadir anakuwa mchezaji pekee wa kikosi cha Yanga aliyewahi kushinda mataji mengi zaidi kwenye historia ya timu hiyo.

ADVERTISE HERE