Kikosi cha Yanga jana kimejifua katika uwanja wa Chuo cha Polisi Kurasini jijini Dar es salaam kikiwa na wachezaji wake wote waliosajiliwa kwa ajili ya msimu ujao.
Mazoezi hayo yalimjumuisha mlinda lango mpya Klaus Kindoki na mshambuliaji Heritier Makambo wote kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.
Leo Yanga inaelekea mkoani Morogoro kuweka kambi rasmi kwa ajili ya kujiandaa na ligi pamoja na michezo miwili iliyobaki ya kombe la Shirikisho.
August 19 Yanga itacheza na USM Alger kwenye dimba la Taifa kabla ya kuelekea mkoani Morogoro kucheza na Mtibwa Sugar mchezo wake wa kwanza wa ligi kuu ya Vodacom msimu wa 2018/19.

ADVERTISE HERE