Yanga leo asubuhi imefanya mazoezi kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam na itaendelea kutumia uwanja huo kesho asubuhi.
Kulingana na taarifa iliyotolewa na Meneja wa Timu, Hafidhi Saleh ni wachezaji wawili pekee Obrey Chirwa na Geofrey Mwashiuya ambao bado ni majeruhi.

ADVERTISE HERE