Yanga kwenda Zanzibar August 13 kuivaa Mlandege

Yanga Damu By Yanga Damu
β€’
10 Aug 2017
Yanga kwenda Zanzibar August 13 kuivaa Mlandege
Baada ya mchezo wake wa kirafiki August 12 dhidi ya Ruvu Shooting, Yanga itaelekea visiwani Zanzibar Agosti 13 kucheza mchezo mwingine wa kirafiki dhidi ya Mlandege.

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa kwenye uwanja wa Amani visiwani humo.

Mchezo huo ni sehemu ya maandalizi ya kikosi cha Yanga kinachotarajiwa kuivaa Simba katika mchezo wa Ngao ya Jamii, Agosti 23.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
20m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’