Mazoezi uwanja wa Uhuru leo

Yanga Damu By Yanga Damu
β€’
11 Aug 2017
Mazoezi uwanja wa Uhuru leo
Kikosi cha Yanga leo kimeendelea na mazoezi kwenye uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam.

Kocha Lwandamina na wasaidizi wake wameendelea kuimarisha kikosi pia kushughulikia sehemu zenye mapungufu kabla ya mchezo wa kirafiki wa keshokutwa Jumamosi.

Yanga itashuka dimbani keshokutwa Jumamosi kuchuana na Ruvu Shooting kwenye mchezo wa kirafiki kabla haijakwenda Zanzibar Jumapili ambako itacheza na Mlandege.



Baada ya mchezo huo wa Zanzibar Yanga itaweka kambi kisiwani Pemba kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba August 23.







ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’