Mchezo wa kwanza wa ligi kuu ya Tanzania Bara kati ya Yanga dhidi ya Mtibwa Sugar ambao awali ulipangwa kupigwa uwanja wa Uhuru, sasa umehamishiwa uwanja wa Taifa.
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Alhamisi kwenye uwanja huo kuanzia saa 12 jioni.

Serikali imeziruhusu Yanga na Simba kutumia uwanja huo jioni/usiku kwa michezo ya timu hizo inayopigwa kati ya August 22 na Septemba 01.

ADVERTISE HERE