Hatimaye Zahera amepata kibali

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Aug 2018
Hatimaye Zahera amepata kibali
Baada ya sintofahamu ya miezi kadhaa, kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera leo kwa mara ya kwanza amekaa kwenye benchi kuiongoza timu yake wakati ikichuana na Rayon Sports.

Zahera hakuwahi kuiongoza Yanga kwenye michuano hiyo na hata ya ligi tangu ajiunge na mabingwa hao wa Kihistoria Tanzania Bara mwezi May 2018.

Kukaa kwake katika benchi leo kunamaliza sintofahamu iliyokuwepo juu ya kibali cha kocha huyo raia wa Ufaransa mwenye asili ya DR Congo.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’