Bodi ya Ligi yawafungia waamuzi 'vihiyo'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Sep 2018
Bodi ya Ligi yawafungia waamuzi 'vihiyo'
Kamati ya uendeshaji na usimamizi wa Ligi Kuu (Kamati ya Saa 72) imewafungia baadhi ya waamuzi na kuzipiga faini baadhi ya klabu kwa kuvunja kanuni za ligi.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Boniface Wambura alisema kamati hiyo iliyoketi Jumamosi iliyopita imejiridhisha juu ya ripoti za michezo ya raundi ya kwanza na ya pili kwenye ligi.

"Kamati imepitia vielelezo mbalimbali ikiwemo ripoti za makamishna pamoja na video za mechi husika na kufikia uamuzi huo," alisema Wambura.

Klabu za Mbao, Coastal Union na Prisons zimetozwa faini ya Sh 500,000 kila moja kwa kushindwa kuwadhibiti mashabiki wake.

Nao waamuzi Jimmy Fanuel, Jamada Ahmada, Nicholas Makaranga na Athuman Lazi wamefungiwa kwa kushindwa kutafsiri sheria za mpira wa miguu
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
19h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’