Kindoki ruksa kuitumikia Yanga baada ya kupata kibali

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Sep 2018
Kindoki ruksa kuitumikia Yanga baada ya kupata kibali
Mlinda lango wa Yanga Klaus Kindoki amepata kibali cha kumuwezesha kufanya kazi nchini hivyo yuko huru kuanza kuitumikia Yanga kwenye michuano mbalimbali.

Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Omari Kaaya amesema kibali cha kipa huyo kimepatikana na sasa anaruhusiwa kucheza michezo ya ligi kuu ya Tanzania Bara.

Yanga pia imefanikiwa kuhuisha vibali vya Amissi Tambwe na Thabani Kamusoko ambao nao walishindwa kuonekana kwenye kikosi cha timu hiyo siku za hivi karibuni kutokana na vibali vyao kuisha muda wake.

Baada ya kufuta mchezo wa kirafiki uliokuwa upigwe kesho mkoani Kigoma dhidi ya Singida United, kikosi cha Yanga kimeendelea kujifua uwanja wa chuo cha Polisi Kurasini jijini Dar es salaam kujiandaa na michezo ya ligi.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
2h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
5h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
10h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
11h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
14h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’