Nahodha msaidizi wa Yanga Juma Abdul ameanza mazoezi ya Gym baada ya kuwa nje mwezi mzima kutokana na majeraha ya goti.
Abdul ataukosa mchezo dhidi ya Simba utakaopigwa Jumapili, Septemba 30 kwenye uwanja wa Taifa.
Kukosekana kwake kwenye mchezo huo unaosubiriwa kwa hamu, kutampa nafasi kinda Paul Godfrey ambaye alionyesha kiwango kizuri kwenye mchezo dhidi ya Singida United.
Kwenye mchezo huo Yanga pia itamkosa kiungo wake mshambuliaji Juma Mahadhi ambaye huenda akakaa nje kwa muda mrefu baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti

ADVERTISE HERE