Kotei alivyokosa uungwana kwa Gadiel Michael

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Oct 2018
Kotei alivyokosa uungwana kwa Gadiel Michael
Tukio alilolifanya kiungo wa Simba James Kotei kumpiga ngumi ya mgongo Gadiel Michael kwenye mchezo wa jana halikuwa la kiungwana kabisa.

Bila shaka Kamati ya saa 72 ya TFF itafanya kazi yake kama ilivyofanya msimu uliopita kwa Kelvin Yondani alipomtemea mate Asante Kwasi.

Mpira sio vita, ni mchezo wa kiungwana. Matukio ya aina ile inafaa yakemewe kwani yanaharibu maana halisi ya mchezo wa kiungwana.

Ni bahati mbaya sana msimu huu wachezaji wa Simba wamekuja na aina hiyo mpya ya kuwashambulia wachezaji wa timu pinzani kwa ngumi.

John Bocco alionyeshwa kadi nyekundu kwenye mchezo kati ya Mwadui FC dhidi ya Simba baada ya kumpiga ngumi ya kisogo beki wa Mwadui.

Tukio la jana halina tofauti na tukio lililofanywa na Bocco, lakini ni ajabu mwamuzi hakutoa adhabu yoyote kwa Kotei. Labda hakuliona.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’