Yanga kuivaa Mbao FC Jumapili saa moja usiku, viingilio vyatajwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Oct 2018
Yanga kuivaa Mbao FC Jumapili saa moja usiku, viingilio vyatajwa
Jana Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten alitangaza viingilio vya mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara kati ya Yanga dhidi ya Mbao FC utakaopigwa Jumapili, October 07 kwenye uwanja wa Taifa.

Kiingilio cha chini kabisa kuweza kuushuhudia mchezo huo unaotarajiwa kuanza saa moja usiku ni Tsh 5,000/- upande wa Mzunguuko.

Majukwaa ya VIP B na C kiingilio kitakuwa Tsh 10,000/- wakati upande wa VIP A ni Tsh 15,000/-.

Ten amewataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kwenye mchezo huo ambao mabingwa hao wa kihistoria wamepania kuendeleza wimbi la ushindi dhidi ya Mbao kwenye uwanja wa Taifa.

Yanga haijawahi kupoteza mchezo dhidi ya Mbao katika dimba la Taifa.

Mbao imekuwa ikifanya ubabe inapokuwa kwenye dimba lake la nyumbani, CCM Kirumba ikiwa imeshinda michezo yote dhidi ya Yanga kwenye uwanja huo.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
23m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
9h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’