Baada ya kukamilika kwa michezo ya mzunguuko wa tisa, ligi kuu ya Tanzania Bara inatarajiwa kusimama kwa siku 10 kupisha michuano ya Kimataifa iliyo kwenye kalenda ya FIFA.
Michezo ya mzunguuko wa tisa itaanza kupigwa kesho Ijumaa kwa mchezo mmoja kati ya Lipuli Fc dhidi ya Stand United.
Michezo itakayopigwa Jumamosi, October 06

Michezo itakayopigwa Jumapili na Jumatatu

ADVERTISE HERE