Baada ya swala la jengo la Yanga 'kushikiwa bango' zaidi wakati huu licha ya swala hilo kuwepo kwa miezi kadhaa baadhi ya wadau wa Yanga wanajiuliza maswali.
Je unafikiri swala hili linaweza kuitoa Yanga mchezoni hivyo kuwa 'nyepesi' kwenye mchezo dhidi ya Simba Jumatano ijayo?
Je unafikiri swala hili linaweza kuitoa Yanga mchezoni hivyo kuwa 'nyepesi' kwenye mchezo dhidi ya Simba Jumatano ijayo?
ADVERTISE HERE