Gadiel, Kotei wameonyesha ukomavu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Oct 2018
Gadiel, Kotei wameonyesha ukomavu
Wachezaji Gadiel Michael na James Kotei wameonyesha ukomavu kwa kumaliza tofauti iliyojitokeza siku ya mchezo wa watani wa jadi.

Baada ya Kotei kumuomba radhi Gadiel kufuatia tukio la kumpiga ngumi kwenye mchezo huo, wawili hao wamekutana na kuwadhihirishia mashabiki wao kuwa 'wameyamaliza'.

Siku chache zilizopita, Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten alisema uongozi wa timu hiyo uliandika barua kwa shirikikisho la soka Tanzania (TFF) kutaka zichukuliwe hatua za kinidhamu kwa Kotei raia wa Ghana.

Siku moja baadae Kotei alijitokeza hadharani na kumuomba radhi Gadiel na mashabiki wa soka nchini kufuatia tukio hilo alilofanya.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’