Kadi za njano Yanga zazua jambo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Oct 2018
Kadi za njano Yanga zazua jambo
Mpaka sasa wachezaji wa Yanga wameonyeshwa kadi za njano 12 katika michezo sita iliyopita kwenye ligi kuu ya Tanzania Bara.

Hakuna mchezaji aliyeonyeshwa kadi nyekundu kwenye kikosi cha Yanga

Kulingana na takwimu zilizotolewa na Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten, miongoni mwa kadi hizo, nne ameonyeshwa nahodha Kelvin Yondani.

Yanga inajiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Alliance utakaopigwa dimba la Taifa keshokutwa Jumamosi saa kumi jioni.

"Kadi 12 za njano si rekodi nzuri sana, tuna kila sababu ya kurekebisha kasoro ndogo ndogo, muhimu ni kuja uwanjani kwa wingi kuisapoti timu iweze kupata matokeo mazuri"
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’