Wachezaji Stars waalikwa Ikulu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Oct 2018
Wachezaji Stars waalikwa Ikulu
Kulingana na taarifa iliyotolewa na msemaji wa Ikulu Gerson Msigwa, leo terehe 19 Oktoba 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli atakutana na wachezaji wa Taifa Stars Ikulu jijini Dar es salaam.

Rais Magufuli atafanya nao mazungumzo na baadae kula nao chakula cha mchana.

Juzi Stars ilijiweka katika nafasi nzuri ya kufuzu fainali za Michuano ya AFCON 2019 baada ya kuilaza Cape Verde mabao 2-0 kwenye mchezo uliopigwa katika uwanja wa Taifa.

Stars inashika nafasi ya pili kundi L ikiwa na alama tano.

Inaweza kujihakikishia tiketi ya kwenda Cameroon mwezi ujao kama itaifunga Lesotho ugenini huku ikiomba Uganda Cranes iichape Cape Verde katika mchezo utakaopigwa nchini Uganda.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
2h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
6h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
10h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
11h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
14h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’