Mdau huyu ameibua hoja ya msingi sana

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Oct 2018
Mdau huyu ameibua hoja ya msingi sana
Siri kubwa uuzaji wa jezi, nani ananufaika ?

Pesa inayoliwa na wachache,

Hivyo ndivyo unaweza kusema, uongozi wa klabu ya Yanga umeshindwa kutangaza mfumo wake wa uuzaji wa vifaa rasimi kama jezi za msimu huu.

Kinachofanya mchakato huu uchelewe hakijulikani, kila siku kuna maingizo mapya ya jezi, yani mpaka sasa shabiki hajui avae jezi ipi msimu huu ambayo ndio rasimi kwa mechi za nyumbani na ugenini au Jezi ya mazoezi ni ipi?

Vitu vidogo kama hivi ni vikubwa sana inapokuja issue ya mapato na uendeshaji wa klabu

Sasa unajiuliza wanao uza hizi jezi ni kina nani?? Pichani juu Kuna copy ya jezi ambayo imetengenezwa tayari inayofanana na jezi ambayo Yanga wanavaa wakati wa warm up kwenye baadhi ya mechi.

Baada ya kuingia Omary Kaaya kama kaimu katibu mkuu matarajio ni makubwa sana kwa wanachama na mashabiki wa Yanga , Kaaya alikuja na mkakati wa kuchangia timu ambao kiasi flani umefanikiwa lakini tulitarajia kuona mipango zaidi ya kuinusuru klabu kutoka kwa wapigaji

#WAZO MBADALA

Makao makuu ya klabu , kuna ukumbi ambao umekuwa unatumika kwa vikao na mikutano midogo ya baadhi ya wanachama, Mara nyingine wanachama huangalia mpira au vipindi vya Yanga Tv pale,

Kwanini ukumbi huu usitumike kama duka la klabu?? Kwa kuanzia walau tuwe na duka pale klabu ambapo mtu anaweza kwenda kununua jezi na pesa inaingia moja kwa moja klabu ??

Mafundi wa design ukumbi huu katika partition kuruhusu watu kuingia ofisini na eneo lingine litumike kama duka la klabu?

Kuna ukumbi mwingine upo ndani huo ndio utumike kwa mikutano ya ndani na vikao

Kwanini tunashindwa ?? Nani anakwamisha haya?? Mashabiki tupo tayari , klabu haipo tayari nani yupo nyuma ya hili??

cc : yanga_sc_group_of_supporters
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’