Fei Toto amemaliza adhabu, KMC wajipange

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Oct 2018
Fei Toto amemaliza adhabu, KMC wajipange
Kiungo kinda wa Yanga Feisal Salum 'Fei Toto' alikosa mchezo uliopita wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Alliance ambapo katika mchezo huo Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 3-0.

Fei Toto alikosa mchezo huo akitumikia adhabu ya kadi tatu za njano. Sasa anarejea katika mchezo wa keshokutwa dhidi ya KMC.

Wiki iliyopita Fei Toto alin'gara kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kilichoibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Cape Verde na kufufua matumaini ya kufuzu kwa michuano ya AFCON 2019 itakayofanyika nchini Cameroon.

Kiwango chake kilimpagawisha kocha Mkuu wa Stars Emmanuel Amunike ambaye alimsifia kiungo huyo na kumtabiria makubwa siku za usoni
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’