Tarehe kama ya leo alizaliwa mshambuliaji wa Yanga, mkali wa kuzifumania nyavu Amissi Tambwe.
Tambwe amekuwa sehemu ya mafanikio ya Yanga katika misimu minne iliyopita. Ndiye mshambuliaji aliyefunga mabao mengi zaidi katika kipindi cha miaka mitano iliyopita
Tangu atu3 Tanzania mwaka 2013, Tambwe ameshafunga zaidi ya mabao 70 katika ligi kuu na bado anayo nafasi ya kufunga mabao zaidi.
Msimu uliopita haukuwa mzuri kwake kutokana na kuandamwa na majeruhi ya mara kwa mara lakini msimu huu ameanza vizuri akiwa tayari amepachika mabao mawili kwenye ligi kuu ya Tanzania Bara.
Tunamtakia kila la kheri katika siku yake hii muhimu.
HAPPY BIRTHDAY AMISI TAMBWE

ADVERTISE HERE