Yanga kutoka tamko kuhusu Banka

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Oct 2018
Yanga kutoka tamko kuhusu Banka
Baada ya TFF kubainisha kuwa kiungo Mohammed Issa Banka amefungiwa miezi 14 baada ya kupatikana na hatia ya kutumia dawa za kusisimua mwili (bangi), uongozi wa Yanga unasubiri barua rasmi kutoka TFF ili uweze kutoa tamko.

Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amesema baada ya kutolewa kwa taarisa hiyo leo, wanasubiri barua rasmi kutoka TFF ili waweze kutoa tamko la timu.

"Taarifa imetoka leo, hivyo tunasubiri barua rasmi kutoka TFF ili tuzungumze"

"Hata hivyo, hatuwezi kusema kama Banka ameonewa au la kutokana na mazingira ya kesi hiyo. Kwani ushahidi ukiwemo vipimo vilichukuliwa pamoja utetezi wa mchezaji mwenyewe ambaye amekiri kosa"

Banka ametua Yanga akitokea Mtibwa Sugar hata hivyo hakuwahi kujiunga na timu hiyo.

Adhabu yake imeanza Disemba 2017 na itamalizika Februari 02, 2019.

Wakati anajiunga Yanga alisaini mkataba wa miaka mitatu. Anaweza kuanza kutumikia Yanga baada ya miezi minne.

Hata hivyo anaweza akaruhusiwa kuanza kujifua na Yanga kuanzia mwezi Disemba
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’