Mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba na Yanga unaotarajiwa kupigwa keshokutwa Jumatano, August 23 unatarajiwa kuanza saa 11 jioni badala ya saa 10 kama ilivyotangazwa mwanzo.
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Afisa Habari wa TFF Alfred Lucas amesema wamelazimika kubadilisha muda wa mchezo huo kwa kufahamu unapigwa siku ya kazi.
Lucas amesema maandalizi ya mchezo huo yamekamilika.

ADVERTISE HERE