Yanga kucheza mechi tatu za kirafiki kabla ya kwenda Shinyanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Nov 2018
Yanga kucheza mechi tatu za kirafiki kabla ya kwenda Shinyanga
Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Omary Kaya amesema timu hiyo inakusudia kucheza michezo mitatu ya kirafiki kabla ya kwenda mkoani Shinyanga kuikabili Mwadui Fc Novemba 22 katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara.

Baada ya mchezo dhidi ya African Lyon utakaopigwa kesho Jumapili kwenye uwanja wa Uhuru, siku ya jumatano Yanga inatarajiwa kucheza mchezo mwingine wa kirafiki dhidi ya Reha Fc inayoshiriki ligi daraja la kwanza

Kaya amesema Novemba 17 Yanga itasafiri kwenda mkoani Lindi kuikabili Namungo Fc kwenye mchezo mwingine wa kirafiki utakaopigwa katika uwanja wa Majaliwa, wilayani Ruangwa
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’