Siku ya Ijumaa, tarehe 25 August 2017 uongozi wa Yanga utafanya mkutano na wafanyabishara na wauzaji wa vifaa vya michezo Makao Makuu ya klabu ya Yanga jijini Dar es salaam.
Afisa habari wa Yanga Dismas Ten kupitia taarifa yake aliyoitoa jana, ametoa mwaliko kwa wafanyabishara hao wafike bila kukosa siku hiyo ya Ijumaa.
Aidha Yanga imetoa tahadhari kwa wafanyabishara wanaouza vifaa au jezi zenye nembo ya Yanga kuwa imeanza msako mkali wa kuwakamata na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria.
Yanga iko mbioni kuandaa utaratibu wa kuuza jezi pamoja na vifaa vyake vingine kwa manufaa ya klabu.

ADVERTISE HERE